Swahili Speaker

Ditutup Disiarkan 3 tahun lepas Dibayar semasa penghantaran
Ditutup Dibayar semasa penghantaran

Natafuta freelancer wa kiswahili

Kazi

Nitakupa apps ambayo ndani yake ina maneno ya kiswahili,wewe kila neno utakitungia senteai fupi kuanzia sekunde ya 3 na kufikia sekunde ya 8 uwe umeshamaliza

Ndani ya apps kuna maneno 1000 ukiyamaliza yote yatakaguliwa na yakiwa vizuri kuanzia asilimia 80 kwenda mbele

Malipo ni 15000 mpaka 20000

na yasipokuwa sahihi utarudia yale uliyoyakosea

kumbuka kipindi unarekodi hautakiwi kukaa sehemu yenye kelele hata kidogo,ukae sehemu tulivu kabisa

Maelezo kwa kina njoo inbox

Terjemahan English (US) Translator Penterjemah Bahasa Hindi Pemasukan Data Pembantu Maya

ID Projek: #30846850

Tentang projek

26 cadangan Projek jarak jauh Aktif 3 tahun lepas

26 pekerja bebas membida secara purata $28 untuk pekerjaan ini

sterlingwriters

Hello, Being a kenyan, I clearly understand your requirements and I can handle such. I assure quality work that meets your requirements at a reasonable budget despite any tight deadline. Kindly text me over the chat w Lagi

$10 USD dalam sehari
(1 Ulasan)
1.0
govind7814676997

As a skilled and outstanding typing expert, I bid on your project because I have the expertise and experience to deliver superior quality work. I guarantee you constant updates in the project as a way of ensuring the p Lagi

$20 USD dalam 7 hari
(0 Ulasan)
0.0
chebetruto1

Hujambo, Natoka Kenya, na nina uhakika kuwa nitawasilisha kazi sahihi na kwa muda unaotakikana. Tafadhali naomba unipee kazi yako na hizo swekunde ambazo umenipea nitawasilisha kazi kabla huo muda uishe. Asante na uwe Lagi

$25 USD dalam 2 hari
(0 Ulasan)
0.0
nisugowda81

Hi I'm Nisarga I have read about your project and interested to work ,and I will translate better ,and I have a good typing speed give a chance to proove myself .

$25 USD dalam 6 hari
(0 Ulasan)
0.0
derrickwriter277

jina yangu ni Derrick kioko freelancer wa kiswahili naweza kuhudumia na kufanya kazi unayo sema. Niko na cheti changu cha kidato cha nne. Naweza ongea kiswahili sanifu na tarajia kuskia kwako tuweze kufanya kazi pamoj Lagi

$150 USD dalam 7 hari
(0 Ulasan)
0.0
phillidawanji3

Natumai ya kwamba u salama salmini Nimesoma maelezo yako na nikaelewa fikra ninachopaswa kufanya. Nakuhakikishia ya kwamba nitafanya kazi shwari na matokeo yatakuwa bora. Naomba ya kwamba unipe nafasi hii na hutasikiti Lagi

$20 USD dalam 7 hari
(1 Ulasan)
0.0
nyansiaboka

I am a native swahili speaker. I will construct sentences from the words provided using the app you have mentioned as per your instructions. Your work will be delivered within 4days.

$20 USD dalam 4 hari
(0 Ulasan)
0.0
eugenesimiyu

Hujambo,nimeipitia kazi hii na nimepata ufahamu wa yote yanayohitajika. Naamini kwamba nitafanya kazi nzuri kulingana na matarajio yako.

$20 USD dalam 7 hari
(0 Ulasan)
0.0
Squachris

I, Chris Childs will like to take on the challenges of your business to help you grow and succeed at increasing rate

$20 USD dalam 7 hari
(0 Ulasan)
0.0
biisilvester1996

I will get job done, manually and I will revise till you are satisfied with what I will give you. I have enough experience doing translation

$20 USD dalam 7 hari
(0 Ulasan)
0.0
andrewmiyombo3

34trtt5trt5t,liolu;-0eifpfip'sk';kd';s;lf;lsamflkjnjkfndsnjnf ndsnlkn,.efnkf vdj vka lklkaw ;j;lfj ;a sfegf d kf jl;d

$20 USD dalam 7 hari
(0 Ulasan)
0.0
muhoromatt2

Habari? Naweza kukufanyia hii kazi kwa urahisi sana. Naomba unipe nafasi nikufanyie kazi nzuri kabisa. Asante.

$20 USD dalam sehari
(0 Ulasan)
0.0
Jemillahburudi

Hujambo, Ningependa kufanya hii kazi kwa niaba yako. Mimi huongea Kiswahili kama lugha yangu ya kwanza. Isitoshe, nimewahi kufanya kazi aina hii. Nitashukuru ukinichagua mimi kufanya kazi hii.

$30 USD dalam 7 hari
(0 Ulasan)
0.0
benardbright35

Hujambo Niko tayari kwa kazi naomba mawasiliano yako leo leo ndani ya saa 6 nitakuwa nimekamilisha kazi yako nina uzoefu wa zaidi ya miaka 3,pia ni mswahili wa kuzaliwa na nina taaluma ya ualimu Naomba kazi Natokea Lagi

$20 USD dalam 7 hari
(0 Ulasan)
0.0
marylynnwangeci

I think the fact that am good in Kiswahili should be enough for me to win the bid. I have an interest in both English and Kiswahili.

$20 USD dalam 7 hari
(0 Ulasan)
0.0
briansagini1

I am well versed with Kiswahili Language. I have successfully completed a similar project thus capable to satisfactorily deliver on this. I can complete the job within the shortest time possible

$15 USD dalam sehari
(0 Ulasan)
0.0
maserics03

Good Swahili/English speaker with vast experience in transcribing and translation. Fast and efficient

$20 USD dalam 7 hari
(0 Ulasan)
0.0
skatule04

Habari, Mimi ni mzaliwa wa Dar es salaam, Tanzania na lugha yangu kuu ni Kiswahili. Kazi hii inanifaa kwasababu nakifahamu kiswahili vizuri na pia utapata matamshi sahihi kabisa kutoka kwangu. Natumaini ombi langu uta Lagi

$20 USD dalam 5 hari
(0 Ulasan)
0.0
Kevngash277

Naweza zungumza kiswahili sanifu na pia kuyatamka maneno ya kiswahili najiamini kuwa ,ninaweza kazi hii

$20 USD dalam 7 hari
(0 Ulasan)
0.0
laylamum2

I am the best candidate for this project, I will put in my best to ensure accuracy,and timely job completion, I know i will not let you down.

$20 USD dalam 7 hari
(0 Ulasan)
0.0