Swahili Speaker
$10-30 USD
Kulipwa wakati wa kujifungua
Natafuta freelancer wa kiswahili
Kazi
Nitakupa apps ambayo ndani yake ina maneno ya kiswahili,wewe kila neno utakitungia senteai fupi kuanzia sekunde ya 3 na kufikia sekunde ya 8 uwe umeshamaliza
Ndani ya apps kuna maneno 1000 ukiyamaliza yote yatakaguliwa na yakiwa vizuri kuanzia asilimia 80 kwenda mbele
Malipo ni 15000 mpaka 20000
na yasipokuwa sahihi utarudia yale uliyoyakosea
kumbuka kipindi unarekodi hautakiwi kukaa sehemu yenye kelele hata kidogo,ukae sehemu tulivu kabisa
Maelezo kwa kina njoo inbox
Kitambulisho cha Mradi: #30846850
Kuhusu mradi
26 wafanyakazi huru wanazabuni wastani wa $28 kwa kazi hii
Hello, Being a kenyan, I clearly understand your requirements and I can handle such. I assure quality work that meets your requirements at a reasonable budget despite any tight deadline. Kindly text me over the chat w Zaidi
As a skilled and outstanding typing expert, I bid on your project because I have the expertise and experience to deliver superior quality work. I guarantee you constant updates in the project as a way of ensuring the p Zaidi
Hujambo, Natoka Kenya, na nina uhakika kuwa nitawasilisha kazi sahihi na kwa muda unaotakikana. Tafadhali naomba unipee kazi yako na hizo swekunde ambazo umenipea nitawasilisha kazi kabla huo muda uishe. Asante na uwe Zaidi
Hi I'm Nisarga I have read about your project and interested to work ,and I will translate better ,and I have a good typing speed give a chance to proove myself .
jina yangu ni Derrick kioko freelancer wa kiswahili naweza kuhudumia na kufanya kazi unayo sema. Niko na cheti changu cha kidato cha nne. Naweza ongea kiswahili sanifu na tarajia kuskia kwako tuweze kufanya kazi pamoj Zaidi
Natumai ya kwamba u salama salmini Nimesoma maelezo yako na nikaelewa fikra ninachopaswa kufanya. Nakuhakikishia ya kwamba nitafanya kazi shwari na matokeo yatakuwa bora. Naomba ya kwamba unipe nafasi hii na hutasikiti Zaidi
I am a native swahili speaker. I will construct sentences from the words provided using the app you have mentioned as per your instructions. Your work will be delivered within 4days.
Hujambo,nimeipitia kazi hii na nimepata ufahamu wa yote yanayohitajika. Naamini kwamba nitafanya kazi nzuri kulingana na matarajio yako.
I, Chris Childs will like to take on the challenges of your business to help you grow and succeed at increasing rate
I will get job done, manually and I will revise till you are satisfied with what I will give you. I have enough experience doing translation
34trtt5trt5t,liolu;-0eifpfip'sk';kd';s;lf;lsamflkjnjkfndsnjnf ndsnlkn,.efnkf vdj vka lklkaw ;j;lfj ;a sfegf d kf jl;d
Habari? Naweza kukufanyia hii kazi kwa urahisi sana. Naomba unipe nafasi nikufanyie kazi nzuri kabisa. Asante.
Hujambo, Ningependa kufanya hii kazi kwa niaba yako. Mimi huongea Kiswahili kama lugha yangu ya kwanza. Isitoshe, nimewahi kufanya kazi aina hii. Nitashukuru ukinichagua mimi kufanya kazi hii.
Hujambo Niko tayari kwa kazi naomba mawasiliano yako leo leo ndani ya saa 6 nitakuwa nimekamilisha kazi yako nina uzoefu wa zaidi ya miaka 3,pia ni mswahili wa kuzaliwa na nina taaluma ya ualimu Naomba kazi Natokea Zaidi
I think the fact that am good in Kiswahili should be enough for me to win the bid. I have an interest in both English and Kiswahili.
I am well versed with Kiswahili Language. I have successfully completed a similar project thus capable to satisfactorily deliver on this. I can complete the job within the shortest time possible
Good Swahili/English speaker with vast experience in transcribing and translation. Fast and efficient
Naweza zungumza kiswahili sanifu na pia kuyatamka maneno ya kiswahili najiamini kuwa ,ninaweza kazi hii
I am the best candidate for this project, I will put in my best to ensure accuracy,and timely job completion, I know i will not let you down.