WANUNUZI WA MAHARAGE YA KIFARANSA NA VITUNGUU KENYA
$10-30 USD
Imeghairiwa
Imechapishwa almost 10 years ago
$10-30 USD
Kulipwa wakati wa kufikishwa
Nahitaji wa Kenya na wa Ganda kua apply tender hii.
Nahitaji kupata wanunuzi wa maharage ya kifaransa na vitunguu.
Pia nahitaji watu ambao naweza lima nao mazao hayo nina ardhi ya kutosha yenye rutuba.
NItakulipa 746 ksh..