Jenga bidhaa zitakazo badilisha maisha

Anzisha taaluma ya kusisimua na Freelancer.com, kampuni iayosukumwa na teknolojia ya data na bidhaa ambapo kila mfanyakazi ana ushawishi, matokeo na anajenga biashara.

Vinjari Kazi Zetu

Panua soko letu la ulimwengu

Watu wetu ndio bora zaidi ulimwenguni na wako katikati ya kujenga na kukuza soko letu. Tunatoka katika asili mbalimbali, na tuna ustadi tofauti tofauti. Tunatatua shida kubwa pamoja na ndogo, na tunafanya kazi na anuwai ya lugha za programu, majukwaa, na teknolojia. Sisi ni waadilifu ambapo mipango, uvumbuzi, na matokeo yanaheshimiwa.

Sambaza Maadili Yetu
  • Chukua Usukani
  • Boresha Kila mara
  • Sukumwa na Data
  • Kuwa Bora na Uajiri wale Bora
  • Badilisha Maisha

Penda kazi yako

Watu hufanya kazi na sisi kwa sababu tofauti - sio tu faida za kawaida za kampuni za teknolojia. Weingine hutaka changamoto, kiwango chetu, teknolojia yetu ya chanzo wazi, shinikizo la kuboresha ustadi wa kila wakati, na athari ya moja kwa moja ambayo utakuwa nayo kwenye biashara yetu na bidhaa zake.

Kufanya kazi kama Mfanyakazi huru

Hii haitakuwa kazi yako ya kawaida. Utajulishwa kwa mwendo wa kasi wa kampuni ya teknolojia inayokuwa. Ikiwa wewe una msukumo wa kipekee na mwenye talanta anayetafuta kazi isiyo ya kawaida kwenye shirika, unataka kufanya kazi na magwiji, hauhitaji kushikwa mkono na unataka kuwa katikati mwa kampuni iliyo na nafasi bora zaidi ya kuwa miongoni mwa tovuti kubwa zaidi Mtandaoni basi tafadhali jiunge nasi.

Pata marupurupu mazuri

  • Fungua Dashibodi

    Dashibodi yetu ina zaidi ya grafu 5,000 na tunampa kila mfanyakazi ufikiaji. Unaona kile Mkurugenzi Mtendaji anaona.

  • Teknolojia ya Kipekee

    Jifunze teknolojia mpya, rudishia jamii, na uyazungumzie yetu kwenye mikutano yetu ya kila mara.

  • Hakuna Vizingiti

    Hautahitaji kujaza fomu, kubishana na wanasheria, au kuketi bila la kufanya kwa sababu unasubiri idhini kutoka kwa wasimamizi.

  • Hackathons

    Hackathon za kila robo mwaka zinakuruhusu ujenge timu na mtatue miradi ya kusisimua mno. Unaweza kushughulikia chochote utakacho.

  • Bidhaa Zinazobadilisha Maisha

    Freelancer ndio chanzo cha msingi cha mapato kwa mamilioni ya watu ulimwenguni kote. Kwa kweli tunabadilisha maisha, na unaweza kutusaidia kujenga bidhaa ambazo zinaacha athari ya kudumu kwa watumiaji wetu.

  • Mawasiliano Wazi

    Katika Freelancer, una mwonekano wa 100% kutoka siku ya kwanza. Tunawasiliana waziwazi, tuna ripoti za takwimu za kila siku kutoka kwa wanasayansi wetu wa data, ripoti za bidhaa za kila wiki na mawasilisho ya ukumbi wa mji ambapo unaweza kumuuliza Mkurugenzi Mtendaji chochote.

  • Ofisi

    Baa iliyojaa kabisa, dimbwi na ping pong, vifurushi vya michezo, jikoni zilizojaa kabisa, vikao vya dawati wazi, timu ndogo za bidhaa, printa za 3d, roboti, ndege zisizo na rubani, studio ya Runinga inayotumika kwa matangazo ya moja kwa moja, skrini nyngi unavyotaka, orodha inaendelea...

Njoo ufanye kazi nasi!

Tukiwa na ofisi kote ulimwenguni, tunaajiri kila wakati.